Hili ni jambo la kawaida sana, ikumbukwe mfuko wa uzazi (uterus) upo nyuma ya kibofu cha mkojo (urethra), mama anapopata ujauzito kuna kuwa na mgandamizo kwenye kibofu cha mkojo kutokana na mfuko wa kizazi kukandamiza kibofu cha mkojo, ila ukishakojoa inaisha,. Jaribu kuzoea hii hali mpaka hapo utakapojifungua ndipo itakapoisha na hali hii haina madhara ila usikae na mkojo muda mrefu!!