1.biashara ya fruits catering
2. Kibanda cha Tangawizi na gahawa
3.soksi, mashati, culture,
4. Nunua dvd za kihindi au series zozote zinazo bamba kitaa uwe unaweza
5. Kama unaweza hanzisha u tube channel ila hapa ubidi uwe unatembele sehem zile interesting ambazo watu wangependa kwenda then una upload kwene channel yako ( very famous in kenya hiki kitu bongo sijaona
)
6. Kama unaujuzi wakitu chochote kama .. Shoe shine, wakupaka rangi kucha za wadada tumia huo kama mtaji
7. Afu sahv nikipindi cha first year wanachuo wewe katafute mitumba mikali uje kuwapiga watoto wanao taka kuwa mabishoo
8.ingia na ubia na biashara yoyote mfano Tafuta muuza chips
ambaye hauzi kuku , filigisi au sausages awe anaweka vitu ev kwene kabati lake na mna ongea utakuwa mnalipana vipi
9.kama vip tengenza hata icream zenye flavour za tofauti uza kwa watoto wa shule (inalipa sana kipindi vya shule)
10)……… ..