kupunguza msongamano wa magari wakati wa ujio wa mtoto wa mfalme na pia kuwezesha ulinzi wa mtoto wa mfalme na mji upendeze wakati akiwa humu, kwani yeye hataki msongamano wa magari
Wana jamii forum habari za usubuhi,
Naomba kuuliza hivi kuna mgomo wa mafuta ya gari... so far nimepita viuo takribani saba na vyote wanasema hakuna mafuta... to be precise; bamaga ya tbc, oilcom sayansi, oilcom victoria, victoria petrol station, total moroko na gapco mbili za ST. Peter, wote hao hawana mafuta kweli linawezekana hili..?
Ni hilo tu, kama nikipata ufafanuzi nitashukuru
siku njema
Kwani wangetoa amri ya kutotoka nje na kutoenda kazini msongamano usingelipungua
kupunguza msongamano wa magari wakati wa ujio wa mtoto wa mfalme na pia kuwezesha ulinzi wa mtoto wa mfalme na mji upendeze wakati akiwa humu, kwani yeye hataki msongamano wa magari
Wana jamii forum habari za usubuhi,
Naomba kuuliza hivi kuna mgomo wa mafuta ya gari... so far nimepita viuo takribani saba na vyote wanasema hakuna mafuta... to be precise; bamaga ya tbc, oilcom sayansi, oilcom victoria, victoria petrol station, total moroko na gapco mbili za ST. Peter, wote hao hawana mafuta kweli linawezekana hili..?
"Wanayo mafuta wanasikilizia bei mpya ambayo inaanza kutumika leo petroli 2043 na Diseli 1983 ambazo zinatakiwa kuanza kutumika leo J3".