Ku root simu

Ama kwahakika cm naionatamu kama mcharoooo,saluti kwako Mkuu SALOK
 
Last edited by a moderator:
Mkuu SALOK nimekukubali maelezo yako mujarabu japo swali langu halitakuwa linahusu sana mada hii ila naomba ushauri wako kuna simu nataka kuinunua HTC one M9+ kama utakuwa na ufahamu wowote wa mabaya ya hiyo simu faida zake kwa uchache nimezisoma.
 
SALOK mkuu nikuombe kitu kimoja naomba utuwekee na link, itupeleke direct kwenye kingroot download, mana nilioidownload naona sijui ni ya k/koo mana inaniletea maneno ya kichina .............
 
Last edited by a moderator:
Jamani hii rooting ki ukweli naomba ufafanuzi wa kina, inasaidiaje, na je ukisha root saimu haitakuja kuzingua in future kwa maana ya to fail operating system
 
Mkuuu kwa sim fake kama Samsung galax note3 inawezekana
Na kama inawezekana nitumie rooter ipi mkuu
 
mkuu naomba kuuliza unatakiwa uwe na kingroot na program gan nyingine ili uweze kuroot
 
Mkuu simu yangu tecno p5 hai download wala kuinstall program yoyote je nifanyaje.natanguliza shukran
 
Mkuu mimi ninw tecno w4 nitumie router ipi kuroot simu yangu? Na nikisha pless start kwenye kingroot na ikaanza kuroot ikifika asilimia hamsini hakutakuwa na madhara kwenye simu yangu?
 
Ninavyotaka kuroot inabidi data iwe on?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…