Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)
Mitragyna speciosa (Kratom) ni nini?
Mitragyna speciosa iko katika kundi la
dawa mpya za kulevya zinazotokana na mimea inayofahamika kwa jina la "Kratom". Mmea huu unakemikali aina ya
Mitragynine na
7 Hydroxymitragynine (7-HMG).