Natumain mmesherehekea vyema skukuu ya x-mass. Niende moja kwa moja kwenye maada! Nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga kuoana huyu binti tunafanya kaz mikoa tofaut, kwa bahati nzuri mwez wa sita mwaka huu akapata nafas ya kujiendeleza kimasomo akaenda kusoma mikoa ya kaskazn, akiwa masomon akanipigia sm sku moja na akaniambia kuna mkufunz anamtaka kimapenz mm nikamwambia uamuz upo kwake kukubali au kukataa, aksema hawez kumkubalia ikapita kama mwez mmoja kaniambia tena kuwa yule mkufunz amemrushia hela kwenye M pesa kwakweli nilimfokea sana kuwa kwann bado anakuwa na mazoea nae? Akaomba msamaha ikapita mwez wa kumi na moja akaniambia atakuja likizo ninakoishi mm ila atakaa wiki 3 tu wiki nyingne ataenda kutembea mkoa mwingne kama kutalii, wakat mkoa anaoutaja ni ule anaishi huyo jamaa aliyemtokea. Kuskia hvyo nilipatwa na hasira sana nikamwmbia asije kabisa kwang aende hukohuko anakotaka kwenda hapo ikadibidi nitafute mwanamke mwngne haraka haraka ili kupoza hasira yangu. Baada ya wiki moja akgundua kuwa ninaishi na mwanamke bas akaja moja kwa moja mpaka nyumban kwangu na kuanza kunilaum kuwa nimemtenda. Mm nikamwambia mm sio muhm kwako tena nenda kaendelee kutalii. Wadau kosa langu ni lipi jaman

Huyu jamaa yako akiendea na huu ujinga kila mara atakuwa anakumbana na majanga!Umefanya maamuzi sahihi.
Songa mbele.
It seems kuwa wewe huyo mwanamke mwingine ulikuwa nae kitambo na ukawa waiba ruti kwa sana tu.
yaani week moja hadi na ku-earn trust ya mwanamke kuja kuishi kwako kirahisi hivyo? In short haukuwa na nia ya kuj kufunga ndoa na huyo mwanamke wako wa mwanzo kama unavyodai. And of course makosa unayo kwa kucheat na kucheza na hisia za mtu
Wewe sio muoaji
Hata kwa huyo dada ulikuwa unazuga
Wiki moja tu ukamreplace?
Shame on you
Msaliti mkubwa ww