KILA SIKU HABARI HIZI HIZI,WAANZE VITA BASI
Hata huyu atapigwa tu, siku yake badoMalipo hapahapa duniani,aliwafanyia walibya, wairaq, waafganistani Leo ni zamu yoa wamerekani kuishi kwa hofu
Korea co Libya kaka, ngoma alozonazo zinafika washington,ndio hofu yake kwani marekani nimwiko Vita kupigania ndani ya ardhi yakeHata huyu atapigwa tu, siku yake bado
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zile meli za kimarekani laini laiiiniii bado zipo rasi ya korea? Mana kim kasema kuzipiga makombora ni uharibifu wa silaha dawa ni kuzigonga tu kama ile ya juzi
Umenichekesha sana. tutapewa kichapo mtindo mmoja, bila kujali nani kawachokoza.kuna koment ya mdau mmoja alinichekesha sana kuhusu hz mambo zakujaribu jaribu wanaweza jaribu makombora yakafika hadi kwenye sayari nyingine kumbe huko kuna watu nako tutakuja kupokea kichapo dunia nzima kwan jamaa hawatahitaji kujua limetokea china au usa ni wazo fikirishi sana
Na sisi tutagonga za Putin tena uzuri wa Putin ukiibinya kidogo tu haielei tena inazama bora ya Marekani itaelea mpaka port kupata matengenezo[emoji38]Zile meli za kimarekani laini laiiiniii bado zipo rasi ya korea? Mana kim kasema kuzipiga makombora ni uharibifu wa silaha dawa ni kuzigonga tu kama ile ya juzi
Hahahaa sasa kaangalie hiyo ya putin ilikua sio meli vita ilikua ya kijasusi tu kama za kiraia tu lakini marekani wao wana za kivita ila laaaaiiiiiniiii nina uhakika za abiria zitakua bora zaidi kulikoNa sisi tutagonga za Putin tena uzuri wa Putin ukiibinya kidogo tu haielei tena inazama bora ya Marekani itaelea mpaka port kupata matengenezo[emoji38]