M-pesa JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 602 Reaction score 152 Dec 23, 2011 #1 Kwa mwenye kontena la 20ft aniuzie mimi. Nitampatia TZS 400,000 (laki nne). Liwe na hali nzuri. Kontena liwe dar kwani nahitaji kwa ajili ya kuhifadhia vifaa vyangu. Asante.
Kwa mwenye kontena la 20ft aniuzie mimi. Nitampatia TZS 400,000 (laki nne). Liwe na hali nzuri. Kontena liwe dar kwani nahitaji kwa ajili ya kuhifadhia vifaa vyangu. Asante.
M-pesa JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 602 Reaction score 152 Dec 23, 2011 Thread starter #2 mwenye nalo tafadhali pm tufanye biashara. Asanteni