Wasalam wakuu,
Natumani mu wazima wa afya, hili tatizo linanitesa tokea jana kila nikiwasha computer inakomea hapo, nimeajribu kuwek CD ya window kusudi nishushe lakini bado mwisho wa siku inakomea hapo hapo, msaada unahitakika kutoka kwenu wajuzi wa haya mambo
Chief mkwawa
View attachment 1449237
Sent using
Jamii Forums mobile app