SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,088
- 75,524
Umeandika upuuzi mwingi ni kama umekalia kitu kigumu chenye ncha butuSimba kinacho wakwamisha ni fedha, kwasasa fedha za usajili hakuna. M- bet walisain mkataba wa 12.5 b Kwa miaka 5.
Na iliwalazimu Simba ku sign mapema Dili la M-bet kwakua muda wa usajili ulifika na hawakua na fedha.
MO alishagoma kutoa fedha akimwambia Barbara klabu ijiendeshe Kwa kipato chake.
Installment ya Fedha za M-bet ndio zilizo sajili Sasa mzigo umekata na usajili umefanikiwa Kwa 60%.
Bahati mbaya Mashabiki wameambiwa mkataba wa M-bet ni Bilion 26 Ili ionekane wameizidi Yanga, Sasa kamba walizotengeneza Kwa kudanganya umma zinawafunga wenyewe.
Muda si mrefu kilakitu kitakua Hadharani.
Jeneza FC wakifungwa mechi moja tu huyo kocha ndio kwaheri ya kuonana
hakika umenena.Huyu kocha ndio atakaa muda mfupi Simba kuliko makocha wote waliopita ni suala la muda tu
Kwasasa Sina namna kukataa shutuma za kuitwa mpuuzi kwakua ukweli siku zote uwa unajitetea wenyewe. Ninacho sisitiza ni swala la muda tu Kila kitu kitakuwa Hadharani.Upuuuzi mtupu
Mmh kyombo chaguo lake kivip wakati kakuta amesajiriwaUongo ACHA uzushi Kyombo alikuwa chaguo lake, Phiri kampanga Jana ACHA uzushi
Vinyesi FC mteremko mliopata msimu uliopita hamuupati tena mwaka huu.Jeneza FC wakifungwa mechi moja tu huyo kocha ndio kwaheri ya kuonana
Huu ndo ukweli mtupu, lakini ndg yangu utapondwa maweSimba kinacho wakwamisha ni fedha, kwasasa fedha za usajili hakuna. M- bet walisain mkataba wa 12.5 b Kwa miaka 5.
Na iliwalazimu Simba ku sign mapema Dili la M-bet kwakua muda wa usajili ulifika na hawakua na fedha.
MO alishagoma kutoa fedha akimwambia Barbara klabu ijiendeshe Kwa kipato chake.
Installment ya Fedha za M-bet ndio zilizo sajili Sasa mzigo umekata na usajili umefanikiwa Kwa 60%.
Bahati mbaya Mashabiki wameambiwa mkataba wa M-bet ni Bilion 26 Ili ionekane wameizidi Yanga, Sasa kamba walizotengeneza Kwa kudanganya umma zinawafunga wenyewe.
Muda si mrefu kilakitu kitakua Hadharani.
Dejan anamlaga nini uyo kocha?
Nadhani anabaki kutokana na kua na uwezo wa kucheza nafasi nyingi dimbani.Kila nikitafakari kinachofanya Erasto Nyoni aendelee kuwepo Simba huwa nakosa jawabu nakubaki na mshangao
Amemwanzisha Simba Day na mechi ya yangaMmh kyombo chaguo lake kivip wakati kakuta amesajiriwa
Hivi yule mzungu was simba anaitwa Mani vile1Ikiwa ni majira ya Saa 4 usiku huku niliko, na Saa 5 Usiku hapo Nyumbani Tanzania, napenyezewa habari nzito kidogo kutoka mitaa ya Msimbazi.
Ikiwa imepita miezi miwili tangu dirisha la usajili lifunguliwe, pilika nyingi za usajili zilifanyika, Umafia, ubabe, ukatili na hata jeuri ya fedha imetumika kwa baadhi ya vilabu katika kuboresha au kusuka vikosi vyao.
Vilabu karibu vyote vilisajili kulingana na matakwa ya kocha kwa angalau 70% ya sajili mpya. Changamoto ilikuwa pale kwa wana LUNYASI ambapo, Magori, TRY AGAIN, BARBARA na MANGUNGU walipoingia sokoni kusaka vipaji wakati inajulikana wazi wao si fani zao.
Habari hii inaeleza kuwa kocha mpya wa SIMBA, Mr ZORAN MAKI ameweka mezani majina ma5 ya mastaa wapya kuwa hao hawataki na hawapo kwenye mpango wake, na kwamba watafutiwe timu haraka sana, bila kujali hasara iliyopata klabu hii kongwe.
Wachezaji hao ni kama ifuatavyo
1. Nassoro Kapama
2. Victor Akpan
3. Moses Phiri
4. Onyango
5. Kyombo
Ametanabaisha kuwa wachezaji aliosuggest yeye ndio muhimu zaidi ambapo mmoja wao ni DEJAN.
Niwatakie usiku mwema, nami ndio niko JOBURG TAX RANK hapa najisogeza mtaani kuegesha mgongo.
Kocha huyu anaipeleka Simba fainali ya CAF Champions league!! Kaanza kwa kitoa dozi ligi kuu!! Poleni mnaojiota wananchi!!Huyu kocha ndio atakaa muda mfupi Simba kuliko makocha wote waliopita ni suala la muda tu
Victor Akpan kacheza mechi gani akashindwa ku perform mpaka aseme hana kiwango?Ikiwa ni majira ya Saa 4 usiku huku niliko, na Saa 5 Usiku hapo Nyumbani Tanzania, napenyezewa habari nzito kidogo kutoka mitaa ya Msimbazi.
Ikiwa imepita miezi miwili tangu dirisha la usajili lifunguliwe, pilika nyingi za usajili zilifanyika, Umafia, ubabe, ukatili na hata jeuri ya fedha imetumika kwa baadhi ya vilabu katika kuboresha au kusuka vikosi vyao.
Vilabu karibu vyote vilisajili kulingana na matakwa ya kocha kwa angalau 70% ya sajili mpya. Changamoto ilikuwa pale kwa wana LUNYASI ambapo, Magori, TRY AGAIN, BARBARA na MANGUNGU walipoingia sokoni kusaka vipaji wakati inajulikana wazi wao si fani zao.
Habari hii inaeleza kuwa kocha mpya wa SIMBA, Mr ZORAN MAKI ameweka mezani majina ma5 ya mastaa wapya kuwa hao hawataki na hawapo kwenye mpango wake, na kwamba watafutiwe timu haraka sana, bila kujali hasara iliyopata klabu hii kongwe.
Wachezaji hao ni kama ifuatavyo
1. Nassoro Kapama
2. Victor Akpan
3. Moses Phiri
4. Onyango
5. Kyombo
Ametanabaisha kuwa wachezaji aliosuggest yeye ndio muhimu zaidi ambapo mmoja wao ni DEJAN.
Niwatakie usiku mwema, nami ndio niko JOBURG TAX RANK hapa najisogeza mtaani kuegesha mgongo.
SASA ITAKUWAJE TUTAWAAMBIA NINI WATU MAANA HIZI SAJILI ZILIVYOTINGISHA NCHI?Ikiwa ni majira ya Saa 4 usiku huku niliko, na Saa 5 Usiku hapo Nyumbani Tanzania, napenyezewa habari nzito kidogo kutoka mitaa ya Msimbazi.
Ikiwa imepita miezi miwili tangu dirisha la usajili lifunguliwe, pilika nyingi za usajili zilifanyika, Umafia, ubabe, ukatili na hata jeuri ya fedha imetumika kwa baadhi ya vilabu katika kuboresha au kusuka vikosi vyao.
Vilabu karibu vyote vilisajili kulingana na matakwa ya kocha kwa angalau 70% ya sajili mpya. Changamoto ilikuwa pale kwa wana LUNYASI ambapo, Magori, TRY AGAIN, BARBARA na MANGUNGU walipoingia sokoni kusaka vipaji wakati inajulikana wazi wao si fani zao.
Habari hii inaeleza kuwa kocha mpya wa SIMBA, Mr ZORAN MAKI ameweka mezani majina ma5 ya mastaa wapya kuwa hao hawataki na hawapo kwenye mpango wake, na kwamba watafutiwe timu haraka sana, bila kujali hasara iliyopata klabu hii kongwe.
Wachezaji hao ni kama ifuatavyo
1. Nassoro Kapama
2. Victor Akpan
3. Moses Phiri
4. Onyango
5. Kyombo
Ametanabaisha kuwa wachezaji aliosuggest yeye ndio muhimu zaidi ambapo mmoja wao ni DEJAN.
Niwatakie usiku mwema, nami ndio niko JOBURG TAX RANK hapa najisogeza mtaani kuegesha mgongo.
Kozi?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Nilienda Kozi mkuu, now niko SADC kozi pia