Matahira katika kilele cha ubora wao
Tawireeee
Enyi mikia ficheni ujinga wenu
Tuache na timu yetu ya wananchi
"Nayo mambumbu yakapaza sauti kuu yakistaajabu kushindwa kwa ramli zao"... MO 3:5-9Usikimbie JF baada ya game
Mi naona 2 kwa 1 zesco wakishinda. Alafu ndola mtu anakula 3 nunge shughuli imeisha. N yanga wajue safari ijayo caf habebwi mtu...
"Nayo mambumbu yakapaza sauti kuu yakistaajabu kushindwa kwa ramli zao"... MO 3:5-9
Watakuja kumfukuza mzee wa vibuktausiku wa deni hauchelewi kuisha
Leo tuone kiburi yao,leo watu watakufa kwa preshaYanga kupigwa tu adi ivae vzr mambo ya vibkuta NO