Tetesi: Kiyama cha simu za mkopo kuanza 2024

Namshukuru Mungu sina hata kimojawapo hapo na sijawahi.

Nina roho nyepesi siwezi kuishi na deni la mtu!
Nifa.
Hata mume wa mkopo pia huna?
Utakuwa unaishi kwa upigaji kazini kwako wewe. Mtz asiyekuwa na sehemu ya kupiga lazima mkopo haumkwepi labda ahame Jamhuri.
 
Nifa.
Hata mume wa mkopo pia huna?
Utakuwa unaishi kwa upigaji kazini kwako wewe. Mtz asiyekuwa na sehemu ya kupiga lazima mkopo haumkwepi labda ahame Jamhuri.
Never!

Mkuu, naishi ndani ya kipato changu. Sina tamaa ya makubwa, ninachokiweza nafanya nisichoweza naacha.

Mume huyo wa mkopo vipi? Lol
 
Kweli mkuu, ila huo mfumo wa uchumi si umetengenezwa na fikra za wachumi nyie?
Filosofia za uchumi zipo well known kwa mataifa yote duniani sema shida huja kwenye implementation za hizo theories na principles za uchumi. Ndio maana nchi moja ni tajiri, nyingine zinakuwa kwa kasi sana huku nchi za dunia ya tatu kama hapa Tanzania tukichechemea kila nyanja ya maendeleo.
 
Hivi yule profesori wa kuiga mikumbo analizungumziaje hili
 
Ni Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…