Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Katibu mkuu wa umoja wa kujihami wa Wanamgambo wa Ukraine ametoa wito wa kutoichukulia poa Russia baada kuona Russia hawana wasiwasi na Vita vyao na ndio kwanza wanasonga mbele. Pia ikumbukwe Russia anamiliki mabomu mazito ya kuimaliza vita hata leo
View attachment 2469663
OSLO, Jan 5 (Reuters) – NATO Secretary-General Jens Stoltenberg said on Thursday it would be dangerous to underestimate Russia and President Vladimir Putin’s ambitions amid the war in Ukraine.
“They have shown a great willingness to tolerate losses and suffering,” Stoltenberg told a business conference in Norway.
“We have no indication that President Putin has changed his plans and goals in Ukraine. So it’s dangerous to underestimate Russia.”
Reporting by Terje Solsvik, editing by Gwladys Fouche
Our Standards: The Thomson Reuters Trust Principles.
Continue Reading
News Source: NATO chief warns against underestimating Russia
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ulichokiandika ni tofauti sana na kilichokusudiwa: Ni kwamba NATO wanaombwa wasichukulie poa sana madhaifu ya Russia kwenye hii vita toka vianze wakae tayari kwa lolote muda wowote.Katibu mkuu wa umoja wa kujihami wa Wanamgambo wa NATO ametoa wito wa kutoichukulia poa Russia baada kuona Russia hawana wasiwasi na Vita vyao na ndio kwanza wanasonga mbele. Pia ikumbukwe Russia anamiliki mabomu mazito ya kuimaliza vita hata leo lakini kaweka mtego ili NATO waingize wanamgambo wao awavunje shingo
View attachment 2469663
OSLO, Jan 5 (Reuters) – NATO Secretary-General Jens Stoltenberg said on Thursday it would be dangerous to underestimate Russia and President Vladimir Putin’s ambitions amid the war in Ukraine.
“They have shown a great willingness to tolerate losses and suffering,” Stoltenberg told a business conference in Norway.
“We have no indication that President Putin has changed his plans and goals in Ukraine. So it’s dangerous to underestimate Russia.”
Reporting by Terje Solsvik, editing by Gwladys Fouche
Our Standards: The Thomson Reuters Trust Principles.
Continue Reading
News Source: NATO chief warns against underestimating Russia
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Shusha sketi uchanjweUlichokiandika ni tofauti sana na kilichokusudiwa: Ni kwamba NATO wanaombwa wasichukulie poa sana madhaifu ya Russia kwenye hii vita toka vianze wakae tayari kwa lolote muda wowote.
Mana Urusi walivyokuwa wanajigamba kabla sasa wameonekana ni weupe kiasi kwamba Nato wanaona kumbe ni bora Rwanda ina nguvu za kijeshi kuliko Russia.
Huo ndiyo ukweli labda waukrein wapige goti kwa mrussi kwa kumpatia majimbo aliyo tekaMimi bado nasisitiza kwamba kuna siku inakuja mtasikia Ukraine yote ni ardhi ya Russia