Project iko Center mpaka Kibada, na maeneo mengine, hivyo viko nje ya huo mradi lakini ukitaka ambavyo viko Kigamboni center ambayo iko ndani ya mradi, vipo pia kuanzia milioni 3,6,8,12 hadi 50 kutokana na mahitaji yako.
Waliojenga katika maeneo yenye mradi watafidiwa na sio leo.
Nipigie:0686555726, ninavyo vya robo heka kwa milioni 2 kigamboni Mwasonga mbele ya Dsm zoo, pia vipo vya milioni 1.5 nusu heka na vya milioni 2 heka nzima ila sio center.