A Allam Senior Member Joined May 4, 2013 Posts 142 Reaction score 9 Jan 17, 2014 #1 Nahitaji kiwanja maeneo yafuatayo gongo la mboto,au pugu,au chanika au kitunda ,kiwe kimepimwa na panahuduma za maji umeme na barabara bajeti yangu ni mil.4 weka ukubwa wa kiwanja chako nikiridhika tunafanya biashara,
Nahitaji kiwanja maeneo yafuatayo gongo la mboto,au pugu,au chanika au kitunda ,kiwe kimepimwa na panahuduma za maji umeme na barabara bajeti yangu ni mil.4 weka ukubwa wa kiwanja chako nikiridhika tunafanya biashara,
dolphine Member Joined Feb 28, 2014 Posts 47 Reaction score 1 Mar 13, 2014 #2 Mhh utakesha mkuu! Ongeza badget hiyo