Mathematician
JF-Expert Member
- Nov 8, 2009
- 327
- 111
All the best mpwa nikumbuke kwenyezaka tukazie nguzo za kanisaa
Kiwanja. kuna watu jirani washaweka mijengo mbona yaani nauza kwa njaa tu mkuu. Hati ipo ya kuuziana kwa mtendaji haina utata.Ni Kiwanja ao shamba? Una hati?
mwambie huyoWe hata mteja hutafuti kisha unataka ukumbukwe Mpwa?
Leta mteja ili ukumbusho uwe mkubwa!!
Kutoka ferry sijafuatilia lakini ni 7km from DSM Zoo....Mkuu Mathematician, wengine tuko mikoani, hiyo mwasonga ipo kilometa ngapi kutoka kivukoni pale??
Kutoka ferry sijafuatilia lakini ni 7km from DSM Zoo....
wlcm 0714620265
Ok....DSM zoo na main road ni 9km...
Nilimpeleka mnunuzi jana ambaye alikuja na kipimio cha kidigitali:teeth: (GPS) na eneo likawa roughly 2596 SQM ingawa tulikona kona kwa sababu ya pori so inaweza fikia SQM 2800 (around 32Mx87M) . Bado lipo bei ni hiyo hiyo tajwa 7M....Habarini GTs,
Ninauza kiwanja changu mwenyewe Kigamboni Mwasonga, ukubwa uliotajwa hapo juu kwa Milioni saba (7mil). haipungui, kiwanja kiko bomba sana ni flat land kiasi cha mita 60 kutoka barabarani na ni jirani na uwanja uliotengwa kwa ajili ya shule ya serikali mita 200....
kriib... 0714620265
Big NO. karibuHicho kiwanja hakipo ndani ya eneo la kutengeneza mji wa kisasa ule wa mpango na bush?
Nilimpeleka mnunuzi jana ambaye alikuja na kipimio cha kidigitali:teeth: (GPS) na eneo likawa roughly 2596 SQM ingawa tulikona kona kwa sababu ya pori so inaweza fikia SQM 2800 (around 32Mx87M) . Bado lipo bei ni hiyo hiyo tajwa 7M....
Eneo ni zuri sana ni tambarare shule ya serikali imetengewa eneo jirani na pia kuna jirani nimepakana nae amepima eneo lake lina beacons tayari. upande wa pili ukivuka barabara kuna walioanza kujenga nyumba safi bati msauz ebana eeh.
:msela:Aiseee....
70 kmsMkuu Mathematician, wengine tuko mikoani, hiyo mwasonga ipo kilometa ngapi kutoka kivukoni pale??
Umbali gani toka barabara ya kwenda kimbiji? mwasonga ipi?Nilimpeleka mnunuzi jana ambaye alikuja na kipimio cha kidigitali:teeth: (GPS) na eneo likawa roughly 2596 SQM ingawa tulikona kona kwa sababu ya pori so inaweza fikia SQM 2800 (around 32Mx87M) . Bado lipo bei ni hiyo hiyo tajwa 7M....
Eneo ni zuri sana ni tambarare shule ya serikali imetengewa eneo jirani na pia kuna jirani nimepakana nae amepima eneo lake lina beacons tayari. upande wa pili ukivuka barabara kuna walioanza kujenga nyumba safi bati msauz ebana eeh.
sass hii ni mlandizi70 kms