Kiwanja madale...goba b

mseseve

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
511
Reaction score
89
Ukubwa ni 40x35
kipo karibu na barabara
picha kama unavyoiona

eneo ni tambarare na tayari kuna maendeleo na nyumba za kutosha kabisa kama uonavyo kwenye picha
bei ni milioni 10 pia kuna maelewano na mwenye eneo
mtu wa kati haitajiki
kwa anaehitaji kuwasiliana na mwenyewe direct no longolongo
0714812375
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…