C Chambuso2017 Member Joined Feb 14, 2017 Posts 50 Reaction score 22 Apr 8, 2017 #1 Kipo Madale Flamingo, (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na laki saba (6.7M). Kwa maelezo zaidi nicheki PM.
Kipo Madale Flamingo, (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na laki saba (6.7M). Kwa maelezo zaidi nicheki PM.