C Chambuso2017 Member Joined Feb 14, 2017 Posts 50 Reaction score 22 Mar 25, 2017 #1 Kipo Madale Flamingo barabara inayokwenda Kwetu Sekondari, ni eneo lililopimwa kwa makazi ya watu. Hakijakatiwa hati bado, Kina ukubwa wa hatua 25x30. Kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Bei Tsh 6.7M. Kwa maelezo zaidi nicheki PM.
Kipo Madale Flamingo barabara inayokwenda Kwetu Sekondari, ni eneo lililopimwa kwa makazi ya watu. Hakijakatiwa hati bado, Kina ukubwa wa hatua 25x30. Kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Bei Tsh 6.7M. Kwa maelezo zaidi nicheki PM.
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,517 Reaction score 13,264 Mar 25, 2017 #2 Kuna umbali gani kutoka kwenye hicho kiwanja chako hadi kwenye mjengo wa huyu kijana wanamwita SIMBA?
Kuna umbali gani kutoka kwenye hicho kiwanja chako hadi kwenye mjengo wa huyu kijana wanamwita SIMBA?
Elvice Junior Senior Member Joined Jan 6, 2017 Posts 188 Reaction score 221 Mar 25, 2017 #3 PROF NDUMILAKUWILI said: Kuna umbali gani kutoka kwenye hicho kiwanja chako hadi kwenye mjengo wa huyu kijana wanamwita SIMBA? Click to expand... Application of Ujirani mwema Mkuu
PROF NDUMILAKUWILI said: Kuna umbali gani kutoka kwenye hicho kiwanja chako hadi kwenye mjengo wa huyu kijana wanamwita SIMBA? Click to expand... Application of Ujirani mwema Mkuu
C Chambuso2017 Member Joined Feb 14, 2017 Posts 50 Reaction score 22 Mar 25, 2017 Thread starter #4 PROF NDUMILAKUWILI said: Kuna umbali gani kutoka kwenye hicho kiwanja chako hadi kwenye mjengo wa huyu kijana wanamwita SIMBA? Click to expand... Kutoka kwa SIMBA ni KM 1 tu mkuu.
PROF NDUMILAKUWILI said: Kuna umbali gani kutoka kwenye hicho kiwanja chako hadi kwenye mjengo wa huyu kijana wanamwita SIMBA? Click to expand... Kutoka kwa SIMBA ni KM 1 tu mkuu.
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,517 Reaction score 13,264 Mar 25, 2017 #5 Chambuso2017 said: Kutoka kwa SIMBA ni KM 1 tu mkuu. Click to expand... Ok poa.