Kiwanja Kinauzwa

upatikanaji wa maji vipi huko sio shida sna?

Maji yapo ya visima,dawasco magari Lita 1000 kwa 10,000 pia mabomba ya dawasco yamekaribia kufika.Umeme nguzo inapakana nakiwanja so unashusha waya tu.
 
okay tuta wasiliana mkuu early january.
 
Picha hizi hizi zimetumika kwenye tangazo la kiwanja kingine.........................
 
Siyo kingine nihicho hicho mtoa tangazo mmoja iweje kiwe kingine sema post nyingine labda.
 
hizo picha nimeona unazitumia kunadi kiwanja cha goba huku watuambia kiwAnja kipo salasala which is which?
 
Umewahi fika Kinzudi? Nijuu ya Salasala na Mbezi beach juu ila kiserikali ni KATA ya Goba anyway anaye hitaji hupenda zaidi kufika eneo husika badala ya kusimuliwa pekee
 
Kwa wale wanaotaka kufika, karibu nipo ila unanitarifu kwanza ili nipange ratiba.
 
Kimebaki cha 20x20 sawa na sqr mita 400.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…