Bei mwisho kabisa 11m
Karibu kwa mwenye uhitaji Wa kiwanja Dar es Salaam,kipo Salasala-Kinzudi.Ukubwa square mita 800, umeme upo na nguzo ya umeme iko jirani kabisa na kiwanja.Pamejengeka na nieneo linalokuwa kwa kasi.Hakijapimwa ila mchakato umeshanza tunapima wakazi Wa eneo kwa pamoja natumesha changa hela kwa hatua ya awali. BEI milioni 12.
0769 222 882
Pia twaweza zungumza kwa wale wa sqr mita 400.
Inamaana naweza kugawa kwa wale wanaotaka nusu.
6.5m lakini inaweza pungua kidogo