Kiwanja kinauzwa kipo kimara mwisho ni kikubwa na kinafaa kwa ujenzi wa kitu chochote kama yad, bar, nyumba za biashara na kuishi nk gari inafika adi uwanjani. mimi sio dalali ni kiwanja cha mama yangu namsaidia kutafuta mteja.

1bei maelewano 2 ukubwa sina uhakika na namba lakini kama nilivyoeleza nieneo kubwa linalofa kwa kujenga hoteli bar nyumba za kuishi nk 3 kwa anaeijua dar eneo nililokwambia huduma za jamii sidhani kama ni swali 4 umbali kutoka morogoro road si zaidi ya 0.125km
Nakubaliana nawewe kwamba siyo dalali maana madalali wanajua kuandika matangazo na kati ya vitu wasivyosahau ni bei.[/QU kweli ndugu yangu apo bei maelewano tu.
Nakubaliana nawewe kwamba siyo dalali maana madalali wanajua kuandika matangazo na kati ya vitu wasivyosahau ni bei.[/QU kweli ndugu yangu apo bei maelewano tu na sidhani kama ni sahihi kumpangia mtu bei kabla hajaona mali.
[/QU kweli ndugu yangu apo bei maelewano tu na sidhani kama ni sahihi kumpangia mtu bei kabla hajaona mali.[/QUOTE]
We jamaa wa wapi? Kwa hiyo nikurupuke huku niliko Niache kazi za Watu nije kuona kiwanja ili nitajiwe bei!!!! Nini maana ya mtandao kwako? Nina m1 kiwanja m100 halafu nije kuangalia ili nini? Elewa maana ya kutaja bei ndugu. Imagine unaambiwa hummer inauzwaJapan njoo uangalie ili nikutajie bei khaaaa!!
Mnapopost matangazo ya biashara msisahau kutaja na bei ya mali yenyewe. Maelewano maana yake nini kama hujataja bei kwanza? Nimewahi kuona tangazo la kiwanja gazetini nikapiga simu ili niambiwe bei nikaambiwa ni kizuri na bei maelewano nikafunga safari kutoka Tabata na kwenda kuona kiwanja Kimara huku uwezo wangu ukiwa ni 3m basi nafika hapo jamaa ananitajia bei 20m nilimpa bonge la shiiiiit na kusepa zangu. Nilikasirika sana make alinipotezea mda wangu bure. Taja bei ili watakaokutafuta wawe tayari wanajua wana uwezo wa kununua.
1bei maelewano 2 ukubwa sina uhakika na namba lakini kama nilivyoeleza nieneo kubwa linalofa kwa kujenga hoteli bar nyumba za kuishi nk 3 kwa anaeijua dar eneo nililokwambia huduma za jamii sidhani kama ni swali 4 umbali kutoka morogoro road si zaidi ya 0.125km
Kimara maji ni shida kijana na kuna sehemu hata maji ya bomba yale ya kutoka usiku hamna ndio maana nikakuuliza
Sasa fanya hivi,rudi kwa mama muulize ukubwa,kama hajui nenda ukapime japo ujue urefu na upana kwa hatua za binadamu.Pia muulize na bei halafu urudi hapa
1bei maelewano 2 ukubwa sina uhakika na namba lakini kama nilivyoeleza nieneo kubwa linalofa kwa kujenga hoteli bar nyumba za kuishi nk 3 kwa anaeijua dar eneo nililokwambia huduma za jamii sidhani kama ni swali 4 umbali kutoka morogoro road si zaidi ya 0.125km
I really really pity you! what is wrong with you; either umeamua tu kupoteza muda kwa kuwapotezea watu muda! au hauelewi unachokifanya, watu tuko serious when it comes to business, funguka mkuu na kama hii kitu sio real ni bora ukasema.
Na kama ni really, mkuu taja bei, size na eneo kilipo hasa, ninaweza nikawa moja ya wanunuzi 'who knows'