nilimaanisha 25x25, gari inafika, kwa gari ndogo(Saloon Car) haiwezi kufika kwa karibu sana coz barabara haipo ok, kuzunguka kiwanja kuna watu wanajenga so kuna magari yanaleta mchanga mpaka hapo. Bora ukikiona then utaamua vizuri hapa unaweza husipate picha kamili.