Kiwanja kinauzwa

mendz

Senior Member
Joined
Dec 9, 2013
Posts
144
Reaction score
49
Kiwanja chenye ukubwa robo eka kinauzwa. Kiko Tegeta Salasala karibu na IPTL. Kiko kwenye eneo la utulivu.

Kina hati ya zawadi (Deed of Gift)

Chote ni TZS 50 Million. Nusu TZS 30 Million.

Kuna Servants Quarter yenye vyumba viwili na Varanda pamoja na shimo kubwa la choo.

Mawasiliano piga 0767/658/0786/0772 977330
 
Asante sana!!! Vipi zile ngurumo za IPTL na ule Moshi haufiki huko kwenye kiwanja hiki? Kiko umbali gani kutoka mitambo ya IPTL?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…