kiwanja kinauzwa kipo KIVULE manispaa ya ilala,bei maelewano jamani mwenyewe ana matatizo ya hela kwani anadaiwa mkopo hajalipa hivyo anaomba kama kuna mtu anataka kiwanja kipo sehemu ya tambarare
Weka maelezo ya kujitosheleza,ukubwa na bei.Mawasiliano pia.Na kipo kivule sehemu gani coz kivule ni kubwa toka kwa mnyamwezi mpaka CCm yote ni kivule.