Beauty JF-Expert Member Joined Feb 6, 2008 Posts 540 Reaction score 23 Sep 16, 2012 #1 Kipo madale maendeleo,kipo karibu na shule ya sekondari maendeleo ukubwa 30x30 bei Ml.6,500,000 hakijapimwa ni cha uhakika, serious buyers only wasiliana no 0713069631 Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kipo madale maendeleo,kipo karibu na shule ya sekondari maendeleo ukubwa 30x30 bei Ml.6,500,000 hakijapimwa ni cha uhakika, serious buyers only wasiliana no 0713069631 Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Livanga JF-Expert Member Joined Apr 15, 2010 Posts 475 Reaction score 156 Sep 16, 2012 #2 Ndugu elekeza kidogo madale ni upande gani wa dar au ni mkoa gani kuna majina ya maeneo yanajirudia ndani ya mkoa mmoja
Ndugu elekeza kidogo madale ni upande gani wa dar au ni mkoa gani kuna majina ya maeneo yanajirudia ndani ya mkoa mmoja
SIMBA mtoto JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 204 Reaction score 100 Sep 16, 2012 #3 Madale ipo karibu na msitu wa Mabwepande.
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Sep 16, 2012 #4 SIMBA mtoto said: Madale ipo karibu na msitu wa Mabwepande. Click to expand... ...na ndio kule ambapo watu walibomolewa kwa madai ya uvamizi wa maeneo.
SIMBA mtoto said: Madale ipo karibu na msitu wa Mabwepande. Click to expand... ...na ndio kule ambapo watu walibomolewa kwa madai ya uvamizi wa maeneo.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Sep 16, 2012 #5 Si ndo uko kuna bomoa bomoa! Au
U Ubungoubungo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2008 Posts 2,502 Reaction score 743 Sep 16, 2012 #6 hahaha. unaweza uziwa eneo la bomoabomboa hahaha, nilikuwa nashangaa bei yake kuwa ndogo kiasi hicho..mil. 6..hahaha
hahaha. unaweza uziwa eneo la bomoabomboa hahaha, nilikuwa nashangaa bei yake kuwa ndogo kiasi hicho..mil. 6..hahaha