Kipis JF-Expert Member Joined Jul 23, 2011 Posts 512 Reaction score 144 Jul 26, 2011 #1 Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya kigamboni kwa pinda. Kina ukubwa wa futi 60 kwa 70 kinatazamana na fun city. Bei 6'000'000/= 0784664478
Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya kigamboni kwa pinda. Kina ukubwa wa futi 60 kwa 70 kinatazamana na fun city. Bei 6'000'000/= 0784664478
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,509 Reaction score 45,120 Jul 26, 2011 #2 kimepimwa? maeneo kibao ya kigamboni yamehifadhiwa kwa projects za mipango miji.
Kipis JF-Expert Member Joined Jul 23, 2011 Posts 512 Reaction score 144 Jul 26, 2011 Thread starter #3 Bado hakijapimwa,ila nilishaenda ardhi kwa ajili ya kupata uhakika juu ya hilo ambalo una shaka nalo,niliambiwa kuwa hakuna mradi wowote wa serikali ambao umebuniwa isipokuwa ni eneo la makazi tu.
Bado hakijapimwa,ila nilishaenda ardhi kwa ajili ya kupata uhakika juu ya hilo ambalo una shaka nalo,niliambiwa kuwa hakuna mradi wowote wa serikali ambao umebuniwa isipokuwa ni eneo la makazi tu.