Kiwanja kinauzwa

mamso

Senior Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
174
Reaction score
195
Kiwanja kinauzwa, mita 20×20, kipo Kinzudi Majengo, katikati ya Goba na Madale, kipo karibu na huduma za maji na umeme, kinauzwa ml 15 karibuni. 0744898813 kwa mawasiliano zaidi.
 
Nimenunua kiwanja cha ukubwa huo Chanika kwa milioni moja unusu. Ningekuwa na hiyo 15M, am ningepata viwanja kumi kwa hela hiyo Chanika.
 
Si heri nikanunue huko Ethiopia nilikofanyiaga kazi kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…