Kiwanja kinauzwa

Mavipakos

Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
16
Reaction score
11
Eneo: Kibaha kwa mfipa km 2.5 kutoka morogoro road

Ukubwa: 30*60 m

Bei: 8,000,000/=

Ni mali yangu sio dalali

PM tufanye biashara
 
Vipi kuhusu Huduma za jamii kama Maji, Umeme, n'a halijapakana n'a kambi ya jeshi ?
Umeme haujafika ila ndio wanapeleka nguzo, maji vipo visima vya watu binafsi, hakuna kambi ya jeshi karibu
 
Umeme haujafika ila ndio wanapeleka nguzo, maji vipo visima vya watu binafsi, hakuna kambi ya jeshi karibu
Vipi kuhusu Majirani, namaanisha pameishaanza kujengeka ?
 
sasa kilometre 2.5 toka Morogoro roadhakuna umeme au umekosea hizo km??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…