sawa mkuu lakin maeneo ya dumira ni maeneo mazuri saana na panakua kwa kasi kubwa kwa sababu pako kwenye barabara za makutano,kuna barabara kuu ya kutoka dar kwenda mwanza kupitia dodoma na pia kuna barabara iendayo kilisa,lakini vilevile barabara iendayo tanga, kwa anaepajua vizuri na kutokana na makutano hayo,panafaa kibiashara n.k.