Kiwanja kinauzwa

Hatua kumina mbili kwa kumi na tank kiko kimara golani
 
Yani hatua 12x15 unauza milioni 4.... Je umekifanyia vipimo kwenye mita? Maana nyumba hatujengi kwa hatua watu wanajenga kwa mita.... Otherwise hiyo ni mita 10x12 kama kaburi la faru John tu
 
Mkuu hatua moja ni one mita
 
Mkuu nimesema hatua ni mita,,so unachukulia ni mita,,ukikitaka njoo upimiwe uone,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…