Mkuu kule King'azi kulikuwa na mgogoro wa ardhi sitaki hata kukusikia huko, angalia usije wapoteza watuSalamu Kiwanja ukubwa 20x20 maeneo ya king'azi Kinyerezi dar es salaam kinauzwa bei yake milioni 6.
Vingine vya kukata kata 15x15 au 10x20 bei maelewano njoo uvitazame vipo njia ya kuunganisha pugu na mbezi kupitia kifuru IPO kwenye utaratibu Wa kupigwa lami.
Pia Kwa mahitaji ya nyumba za kupanga apartment na nyumba za office maeneo ya Mwenge sinza kijitonyama mbezi mikocheni Victoria utapata
Kwa mawasiliano
0658183618
Hiki hakina mgogoro wowote kipo safi kuanzia serikali ya mtaa hadi manispaa. Anayeuza mwenyewe anaishi hapo hapo jirani na anauza eneo ambalo ni la kwake. ila siwezi kukataa nishawahi kuisikia hiyo migogoro kipindi cha nyuma sababu palikuwa na mapori sana na waliokuwa wakimiliki waliacha muda mrefu watu wakavamia. Ila migogoro mingi ishatatuliwa Kwa taarifa nilizopataMkuu kule King'azi kulikuwa na mgogoro wa ardhi sitaki hata kukusikia huko, angalia usije wapoteza watu
Hapana ni mikwara tuKulingana na sehemu yenyewe milioni 20 kipo mbezi hapo na Kinyerezi stand una hela???
Kwa mujibu wa taratibu za kamishina wa Ardhi nchini pamoja na mthamini mkuu wa Serikali, thamani ya Ardhi kwa Dsm ni 12,500/sqm.Salamu Kiwanja ukubwa 20x20 maeneo ya king'azi Kinyerezi dar es salaam kinauzwa bei yake milioni 6.
Vingine vya kukata kata 15x15 au 10x20 bei maelewano njoo uvitazame vipo njia ya kuunganisha pugu na mbezi kupitia kifuru IPO kwenye utaratibu Wa kupigwa lami.
Pia Kwa mahitaji ya nyumba za kupanga apartment na nyumba za office maeneo ya Mwenge sinza kijitonyama mbezi mikocheni Victoria utapata
Kwa mawasiliano
0658183618
Hili soko huria maelezo mengi ya ninj kubwa makubaliano aidha tukubaliane kukubaliana au tukubaliane kutukukubalianaKwa mujibu wa taratibu za kamishina wa Ardhi nchini pamoja na mthamini mkuu wa Serikali, thamani ya Ardhi kwa Dsm ni 12,500/sqm.
Basi, mimi mwenyewe nahitaji kiwanja, lakin kiendane na thamani halisi ya soko kwa sasa. 20m kwa 20m ni km 400sqm hivi. Kisha 400sqm x 12,500shs = 5,000,000m mimi natoa 5m. Gharama za uhamishi (TRO eg mkataba kwa wakili, stamp duty TRA, ada n.k) juu yako.