Muuzaji hauko sereous skwata umuuzie mtu Mln 19?Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school.
Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa.
Urefu wa kiwanja ni mita 37 Upana wa kiwanja ni mita 23
Bei 19M.
PM kwa serious buyersKaribuni
KUna njia tatu za kwenda Nyakasangwe. Unaweza kukatizia pale njia ya wazo hill kwenda kiwanda cha cement. Au ukaja kukatizia Boko Chama hapa. Ukikatizia hapa boko chama ni karibu zaidi... Ukikodi bodaboda ni 2000Tsh.Mkuu Hayo ndo Maeneo gani?
Kwa Ndevu?
Kibaoni?
Au Njia ya Wazo hill?
Au Nyuki?
Au Tegeta Kanisani?
Bei kubwa bossKama umekipenda karibu PM tufanye biashara mkuu