kat.ph JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 2,222 Reaction score 1,679 May 8, 2018 #1 Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school. Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa. Urefu wa kiwanja ni mita 37 Upana wa kiwanja ni mita 23 Bei 19M. Hakuna udalali PM kwa serious buyers Karibuni
Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school. Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa. Urefu wa kiwanja ni mita 37 Upana wa kiwanja ni mita 23 Bei 19M. Hakuna udalali PM kwa serious buyers Karibuni
M Mzee Mwenzangu Senior Member Joined Dec 23, 2013 Posts 190 Reaction score 168 May 8, 2018 #2 Nyakasangwe ni uelekeo upi mkuu, sisi watu wa mbagala tupe ramani kamili tupime maji na unga
kat.ph JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 2,222 Reaction score 1,679 May 8, 2018 Thread starter #3 Mzee Mwenzangu said: Nyakasangwe ni uelekeo upi mkuu, sisi watu wa mbagala tupe ramani kamili tupime maji na unga Click to expand... Unaweza ukakatizia Wazo hill. ..ama Boko chama. Ukiwa boko chama unaingia kushoto kuelekea hapo Nyakasangwe. Nauli kwa pikipiki ni 2000
Mzee Mwenzangu said: Nyakasangwe ni uelekeo upi mkuu, sisi watu wa mbagala tupe ramani kamili tupime maji na unga Click to expand... Unaweza ukakatizia Wazo hill. ..ama Boko chama. Ukiwa boko chama unaingia kushoto kuelekea hapo Nyakasangwe. Nauli kwa pikipiki ni 2000