Mambo vipi wadau wa JF?
Kiwanja kinauzwa Segerea mzimuni kwa bei nzuri tu ya 5 million.
Hiyo nyumba inayomaliziwa kupauliwa kiwanja kinachofuata ndio kinauzwa. barabara na umeme umefika bila tabu.
Kwa mawasiliano
0713 123464 au 0784 407068 au 0762 101178