Mzee baba naona bei imekuchanganya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe Ni Dalali?
paelezee kidogoMkuu na pafahamu hapo,pako vizuri
Inaonekana hii picha aliichukua muda mrefu kidogo,kwa sababu mi niko kwa mbele kwa sasa hivi pamejengeka sana.paelezee kidogo
kwahiyo hapa MTU una weza uziwa cheni bandia? au sehemu ya bahari wakati maji yame safiri kwa muda...Inaonekana hii picha aliichukua muda mrefu kidogo,kwa sababu mi niko kwa mbele kwa sasa hivi pamejengeka sana.
Njoo mpaka moshono kona,shuka na hiyo bara bara unapita fun retreat,malaika utaingia barabara ya mkono wa kushoto kabla ya kufikia bara ya EA.kwahiyo hapa MTU una weza uziwa cheni bandia? au sehemu ya bahari wakati maji yame safiri kwa muda...
Mimi nikiangalia round about ya kijenge bado naisi naifananisha maana siielewi...
Inaonekana hii picha aliichukua muda mrefu kidogo,kwa sababu mi niko kwa mbele kwa sasa hivi pamejengeka sana.
Wewe Ni Dalali?