Kiwanja kinauzwa Morogoro

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
202
Kipo maeneo ya kichangani karibu na shule ya msingi.kina ukubwa wa mita 10 x 15. Kuna umeme na maji.nguzo ya umeme iko uwanjan. Kipo karibu na barabara mita 200 kutoka barabara ya daladala.bei ni mil 5 maelewano yapo.0712789680
 
Kipo maeneo ya kichangani karibu na shule ya msingi ni mita 200 tu kutoka barabara kuu ya daladala.kina ukubwa wa mita 10 x 15.bei ni mil 5 maelewano yapo.nitafute hapa 0712789680
 
poa kaka tuko pa1 tukiskia mtu tunampa no zako
 
Kipo maeneo ya kichangani karibu na shule ya msingi ni mita 200 tu kutoka barabara kuu ya daladala.kina ukubwa wa mita 10 x 15.bei ni mil 5 maelewano yapo.nitafute hapa 0712789680

Jeff, 10MX15M, ni kwa ajiri ya kioski cha soda au vipimo umekosea?
 
Jeff nielekeze vizuri kwa mimi mgeni hapa morogoro naweza kushawishika jikasogea
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…