Bobldi Member Joined Jun 24, 2019 Posts 21 Reaction score 6 Nov 13, 2023 #1 Kiwanja kinauzwa Arusha Mkono kipo karibu na barabara. Maji, umeme, shule, hospitali vyote vinapatika maeneo ya jirani. Kina ukubwa wa Square meter 1080 kwa mawasiliano zaidi nipigie 0758666865
Kiwanja kinauzwa Arusha Mkono kipo karibu na barabara. Maji, umeme, shule, hospitali vyote vinapatika maeneo ya jirani. Kina ukubwa wa Square meter 1080 kwa mawasiliano zaidi nipigie 0758666865
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 16,100 Reaction score 18,569 Nov 15, 2023 #2 Daaah hii ndi changamoto y madalali ona Bei ilivyo kubwa. Huenda tajiri hajui hii Bei. MTU chake bhana
Daaah hii ndi changamoto y madalali ona Bei ilivyo kubwa. Huenda tajiri hajui hii Bei. MTU chake bhana
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 5,922 Reaction score 4,716 Nov 15, 2023 #3 Nina million 2 mkuu cash , nije na wakili wangu unikabidhi eneo??
endesha JF-Expert Member Joined Dec 9, 2015 Posts 1,579 Reaction score 2,421 Nov 15, 2023 #4 Bobldi said: Kiwanja kinauzwa Arusha Mkono kipo karibu na barabara. Maji, umeme, shule, hospitali vyote vinapatika maeneo ya jirani. Kina ukubwa wa Square meter 1080 kwa mawasiliano zaidi nipigie 0758666865 Click to expand... Mkonoo sehemu ganii?? Na bei kiasi ganii??
Bobldi said: Kiwanja kinauzwa Arusha Mkono kipo karibu na barabara. Maji, umeme, shule, hospitali vyote vinapatika maeneo ya jirani. Kina ukubwa wa Square meter 1080 kwa mawasiliano zaidi nipigie 0758666865 Click to expand... Mkonoo sehemu ganii?? Na bei kiasi ganii??
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,140 Reaction score 6,356 Nov 15, 2023 #5 Milioni 60 bei kubwa sana.
Bobldi Member Joined Jun 24, 2019 Posts 21 Reaction score 6 Nov 16, 2023 Thread starter #6 Gilbert A Massawe said: Nina million 2 mkuu cash , nije na wakili wangu unikabidhi k Click to expand... Gilbert A Massawe said: Nina million 2 mkuu cash , nije na wakili wangu unikabidhi eneo?? Click to expand... Kuña viwanja vipo katiti 20 kwa 15 million 2500000 vipo karibu na Barara bara maji umeme vyote vina patikana
Gilbert A Massawe said: Nina million 2 mkuu cash , nije na wakili wangu unikabidhi k Click to expand... Gilbert A Massawe said: Nina million 2 mkuu cash , nije na wakili wangu unikabidhi eneo?? Click to expand... Kuña viwanja vipo katiti 20 kwa 15 million 2500000 vipo karibu na Barara bara maji umeme vyote vina patikana
Bobldi Member Joined Jun 24, 2019 Posts 21 Reaction score 6 Nov 16, 2023 Thread starter #7 Bobldi said: Kuña viwanja vipo katiti 20 kwa 15 million 2500000 vipo karibu na Barara bara maji umeme vyote vina patikana Click to expand... Mkono vina upana na urefu wa 20 kwa 18 vina uzwa million 6 kwa kila kiwanja
Bobldi said: Kuña viwanja vipo katiti 20 kwa 15 million 2500000 vipo karibu na Barara bara maji umeme vyote vina patikana Click to expand... Mkono vina upana na urefu wa 20 kwa 18 vina uzwa million 6 kwa kila kiwanja
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 5,922 Reaction score 4,716 Nov 16, 2023 #8 Bobldi said: Mkono vina upana na urefu wa 20 kwa 18 vina uzwa million 6 kwa kila kiwanja Click to expand... Noti ndefu kaka Kitatiti sipapendi labda kama una Tengeru , barabara ya EAC na Mlangarini
Bobldi said: Mkono vina upana na urefu wa 20 kwa 18 vina uzwa million 6 kwa kila kiwanja Click to expand... Noti ndefu kaka Kitatiti sipapendi labda kama una Tengeru , barabara ya EAC na Mlangarini
Bobldi Member Joined Jun 24, 2019 Posts 21 Reaction score 6 Nov 18, 2023 Thread starter #9 endesha said: Mkonoo sehemu ganii?? Na bei kiasi ganii?? Click to expand... Bei million 6 kwa plot kwa mawasiliano zaidi 0758666865
endesha said: Mkonoo sehemu ganii?? Na bei kiasi ganii?? Click to expand... Bei million 6 kwa plot kwa mawasiliano zaidi 0758666865
Bobldi Member Joined Jun 24, 2019 Posts 21 Reaction score 6 Nov 18, 2023 Thread starter #10 kawombe said: Daaah hii ndi changamoto y madalali ona Bei ilivyo kubwa. Huenda tajiri hajui hii Bei. MTU chake bhana Click to expand... Bei ya kiwanja ni million 18 boss amna udalali mim ndo mwenye kiwanja
kawombe said: Daaah hii ndi changamoto y madalali ona Bei ilivyo kubwa. Huenda tajiri hajui hii Bei. MTU chake bhana Click to expand... Bei ya kiwanja ni million 18 boss amna udalali mim ndo mwenye kiwanja
Kingdom78 Member Joined May 31, 2015 Posts 72 Reaction score 79 Sep 26, 2024 #11 Kwann wary wanapakataa sana mkonoo na maendeleo hakuna muda mrefu Bobldi said: Bei ya kiwanja ni million 18 boss amna udalali mim ndo mwenye kiwanja Click to expand...
Kwann wary wanapakataa sana mkonoo na maendeleo hakuna muda mrefu Bobldi said: Bei ya kiwanja ni million 18 boss amna udalali mim ndo mwenye kiwanja Click to expand...