Kiwanja kinauzwa Mbuyuni

quintella

Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
20
Reaction score
1
Kiwanja kinauzwa, kipo Mbuyuni njia ya kwenda Tegeta, Kina ukubwa wa 20x20,
Kutoka barabarani mpaka kwenye kiwanja ni mwendo wa dakika 5 kwa bajaji,
Kinauzwa Shilling Milioni 15, ambaye yupo serious ani pm au anipigie kwa
namba 0787 280 130. karibuni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…