ukubwa wake ni kiasi gani?low density,medium nk.kimepimwa?kutoka mbezi garden had st.mary's sio parefu,ila kiwanja kipo mkabala na st.mary's au ni kule baraza la mitihan?plz dadavua watu watie timu.
ukubwa wake ni kiasi gani?low density,medium nk.kimepimwa?kutoka mbezi garden had st.mary's sio parefu,ila kiwanja kipo mkabala na st.mary's au ni kule baraza la mitihan?plz dadavua watu watie timu.
hufiki baraza la mitihani, kutoka mbezi garden hadi kiwanjani haizidi nusu saa. Ni kama 180mita za mraba kuna slope ila ukuta imara umejengwa kuushika udongo vizuri. Kuna tofali na vipande vingi kwa ajili ya kifusi. Eneo halijapimwa ila hakuna mgogoro. Muuzaji ni ndugu anajenga jirani so anahitaji hela. Karibuni sana.