Kakakuona JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 345 Reaction score 201 Mar 13, 2014 #1 kiwanja kinauzwa kipo mbezi beach tangibovu mita mia mbili kutoka barabara kubwa ya lami. Kiwanja kina ukubwa wa square meter 1600 kina site plan. Bei tsh.250,000,000/= kwa mawasiliano, contact: 0712133065/0654913364, au pm!!
kiwanja kinauzwa kipo mbezi beach tangibovu mita mia mbili kutoka barabara kubwa ya lami. Kiwanja kina ukubwa wa square meter 1600 kina site plan. Bei tsh.250,000,000/= kwa mawasiliano, contact: 0712133065/0654913364, au pm!!
dolphine Member Joined Feb 28, 2014 Posts 47 Reaction score 1 Mar 14, 2014 #2 Yah kipo vizuri akipungui kidogo mwisho
dolphine Member Joined Feb 28, 2014 Posts 47 Reaction score 1 Mar 14, 2014 #3 Najua hayo maeneo ni ya matajiri na waheshimiwa Upepo unapovuma
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,150 Reaction score 98,577 Mar 16, 2014 #4 Mtafute Prince
kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,245 Mar 16, 2014 #5 Bei stahiki hiyo. Kwa wanzetu wa mbagala, chanika, geza ulole, kongowe ukiwa na hiyo pesa maaneo yanu unanunuwa viwanja vyenye ukubwa wa mwenge nzima.
Bei stahiki hiyo. Kwa wanzetu wa mbagala, chanika, geza ulole, kongowe ukiwa na hiyo pesa maaneo yanu unanunuwa viwanja vyenye ukubwa wa mwenge nzima.
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,213 Reaction score 18,471 Mar 17, 2014 #6 Halafu unajenga nyumba ya ml 50 ptuuu .