MKEHA JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 716 Reaction score 1,144 Dec 18, 2017 #1 Ninauza kiwanja Mbagala Kiburugwa ni kama kilometa moja kutoka Mbagala Rangi Tatu. Kiwanja kina tofali 1100 na kina ukubwa wa mita 35 kwa 50. Kwa mawasiliano piga 0759199829 na 0713911399
Ninauza kiwanja Mbagala Kiburugwa ni kama kilometa moja kutoka Mbagala Rangi Tatu. Kiwanja kina tofali 1100 na kina ukubwa wa mita 35 kwa 50. Kwa mawasiliano piga 0759199829 na 0713911399
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,175 Dec 18, 2017 #2 MUONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!
MKEHA JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 716 Reaction score 1,144 Dec 18, 2017 Thread starter #3 Haya umeeleweka
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,537 Reaction score 18,753 Dec 18, 2017 #4 Sasa bei umeandikia jukwaa lipi
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,426 Reaction score 170,630 Dec 18, 2017 #5 Mbona bei rahisi hivo kina shida gani?
Bwana Mapesa JF-Expert Member Joined Apr 28, 2011 Posts 2,551 Reaction score 1,777 Dec 18, 2017 #6 Weka picha please,kiburugwa kubwa, kama maeneo ya kwayamba ahsante sitochukua hata bure...
korie JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 368 Reaction score 360 Dec 18, 2017 #7 Picha ya location mkuu