Habari wana Jamii, Mimi ni Kijana Mjasiriamali nauza KIWANJA kwa sababu kwa sasa naishi Arusha. Kiwanja kina ukubwa wa 21m x15m(62ft x 42ft), BEI 7M.Kiwanja kipo Mbagala Charambe -Mianzini(Mponda Darajani) kipo umbali wa mita 50 kutoka Barabara ya lami KILWA ROAD. Karibuni.