A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Feb 13, 2018 #1 Kiwanja kipo mapinga bagamoyo mkono wa kulia kama unaenda bagamoyo kina ukubwa wa heka 4 kipo umbali wa 1 km toka barabara ya rami bei ni 25m kwa heka. Tuwasiliane 0657145555.
Kiwanja kipo mapinga bagamoyo mkono wa kulia kama unaenda bagamoyo kina ukubwa wa heka 4 kipo umbali wa 1 km toka barabara ya rami bei ni 25m kwa heka. Tuwasiliane 0657145555.
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Feb 13, 2018 Thread starter #2 shamba lipo sehemu nzuri sana kwa ajili ya uwekezaji wa chochote .kumbuka ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo unaendelea.
shamba lipo sehemu nzuri sana kwa ajili ya uwekezaji wa chochote .kumbuka ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo unaendelea.
A agape1234 Senior Member Joined Feb 5, 2015 Posts 149 Reaction score 44 Feb 13, 2018 #3 Nan kakuambia kuna ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo inaendelea? Kama unauz kiwanja chako usiingize uongo ndugu.
Nan kakuambia kuna ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo inaendelea? Kama unauz kiwanja chako usiingize uongo ndugu.
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 6,203 Reaction score 5,064 Feb 13, 2018 #4 Hapo heka kwa Milion25 Ngoja nisogee Zinga vipo vya bure
Ngunya1 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 784 Reaction score 1,362 Feb 14, 2018 #5 kwa hyo bei utakesha
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,673 Reaction score 3,740 Feb 14, 2018 #6 Akiri said: shamba lipo sehemu nzuri sana kwa ajili ya uwekezaji wa chochote .kumbuka ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo unaendelea. Click to expand... Wekeza basi wew tuone
Akiri said: shamba lipo sehemu nzuri sana kwa ajili ya uwekezaji wa chochote .kumbuka ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo unaendelea. Click to expand... Wekeza basi wew tuone
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Feb 19, 2018 Thread starter #7 aka2030 said: Wekeza basi wew tuone Click to expand... poa mtaona mko maboya wangapi?
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Feb 19, 2018 Thread starter #8 Ngunya1 said: kwa hyo bei utakesha Click to expand... hamna mkuu tayari nimeuza moja bado tatu
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Feb 19, 2018 Thread starter #9 agape1234 said: Nan kakuambia kuna ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo inaendelea? Kama unauz kiwanja chako usiingize uongo ndugu. Click to expand... ujenzi wa bandari mpya kaka fuatilia taarifa
agape1234 said: Nan kakuambia kuna ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo inaendelea? Kama unauz kiwanja chako usiingize uongo ndugu. Click to expand... ujenzi wa bandari mpya kaka fuatilia taarifa