Kiwanja hiki kina ukubwa wa heka moja, kipo ubungo msewe karibu na chuo kikuu cha dar es salaam kinapakana na eneo la chifu kunambi. Pamoja na miti, pia kina nyumba mbili ambazo bado kupauliwa tu. Hati zote zipo. Bei ni mil. 35 tu za kitanzania. 0719646407/0713802507
hilo eneo nalijua linauzwa tangu mwaka 2007 bado tu lipo!!!!!!!! tatizo kuna bonde kubwa sana kama futi 50 kupata level inabidi upeleke greda lisawazishe