Kiwanja kinauzwa Kunduchi

vp mkuu hatupati kiwanja chini hapo huko kuanzia 6ml..hali ngumu boss wangu pesa hapatikan
Mkuu kama upo tayari kipo kimoja Mbezi kwa Msumi huku ni cha 20 kwa 20 nacho chaanzia mil 5 za Kitanzania na ni ruksa kuja kukiona na kujiridhisha kabla ya manunuzi kufanyika,toka mbezi mwisho ni dak kama 7 mpaka 10 hivi,na nauli ni 500 kwa Noah,karibu mkuu unaweza kuni Pm hapo
 

Kunduchi ipi? Kimepimwa?
 
kimepimwa
 
Hahahaha,aisee
Tena bora sim kuliko Sms kwa kula charge
Kote kaenda vizuri ila hapo tu ndio kaharibu
Mkuu SMS inaingia mud a wowote hata kama cm imezima hiv yo nikiwasha naikuta ndio ilikuwa maana yangu
Asante
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…