Means ukituma sms, hata kama simu imezima, akija kuwasha ataipata.Unataka kupiga watu wewe kwani SMS zako hazitumii charge..
Mkuu hiki bado hakijapimwaMilioni 15, kimepimwa mkuu ???
Mkuu hiki bado hakijapimwa
Mkuu meko ni hapa ambako kulikuwa na machimbo ya mawe machimbo yalipoisha 2008 wananchi wakafanya makazi yasiyo rasmi lakini juzi mstahiki meya wa halimashauri ya wilaya ya k'ndoni amemaliza utata wote kwa kuruhusu watu waendelee name ujenzi wa makazi kwani kabla eneo hill lilikuwa Mali ya halimashauli ya wilaya ya k'ndoni ikampa mwekezaji achimbe mawe sasa mawe yaliisha toka 2008Meko ndio mitaa gani mkuu
Mkuu meko ni hapa ambako kulikuwa na machimbo ya mawe machimbo yalipoisha 2008 wananchi wakafanya makazi yasiyo rasmi lakini juzi mstahiki meya wa halimashauri ya wilaya ya k'ndoni amemaliza utata wote kwa kuruhusu watu waendelee name ujenzi wa makazi kwani kabla eneo hili lilikuwa Mali ya halimashauri ya wilaya ya k'ndoni ikampa mwekezaji achimbe mawe sasa mawe yaliisha toka 2008Meko ndio mitaa gani mkuu
Mkuu kiwanja sio fungu la nyanya kusema uuziwe bila kufuata mambo ya kisheriaUnataka kupiga watu wewe kwani SMS zako hazitumii charge..
Mkuu we we ulinielewa vizuri asanteMeans ukituma sms, hata kama simu imezima, akija kuwasha ataipata.
Mambo ya kisheria yanahusianaje na simu yako kuzima!?Mkuu kiwanja sio fungu la nyanya kusema uuziwe bila kufuata mambo ya kisheria
vp mkuu hatupati kiwanja chini hapo huko kuanzia 6ml..hali ngumu boss wangu pesa hapatikanWakuu habari za majukumu ! kiwanja kinauzwa kipo eneo la meko kunduchi Dar es salaam ni kama mita 400 Kufika barabara kuu ya mwenge -bagamoyo ukubwa ni :- upana mita 20 urefu mita 36 bei ni mil 15 mawasiliano no 0765544791/0655544791 karibuni Ukiona sm haipatikani tafadhali tuma sms kwani simu inasumbua charge
Mkuu katika sentinsi yako ulitaja mane no yafuatayo "unataka kuwapiga watu we we" ukimaanisha kutapeli watuMambo ya kisheria yanahusianaje na simu yako kuzima!?
Mkuu unapata lakini kinakuwa kidogo unajua hapa baada ya mchimbo kuisha wale wachimbaji wadogo Dogo waligawana kila mmoja akajimilikisha eneo alilokuwa anachimba hi yo ukitaka kikubwa unanunua tuviwanja kadhaa Keisha unaunganisha lakini hiking ni cha pamoja si cha kuungavp mkuu hatupati kiwanja chini hapo huko kuanzia 6ml..hali ngumu boss wangu pesa hapatikan
Mkuu kama Mimi ni tapeli peleka ushahidi mahakamani au polisi vyombo hi yo vipo kwaajiri ya kushughulikia matapeli kama sisiHuyu ni Tapeli muongopeni atawaumiza
Wakuu habari za majukumu ! kiwanja kinauzwa kipo eneo la meko kunduchi Dar es salaam ni kama mita 400 Kufika barabara kuu ya mwenge -bagamoyo ukubwa ni :- upana mita 20 urefu mita 36 bei ni mil 15 mawasiliano no 0765544791/0655544791 karibuni Ukiona sm haipatikani tafadhali tuma sms kwani simu inasumbua charge
Mkuu kuanzia kwa Mjumbe mpaka seriali za mitaa no mashahidi kuw ni Mali Yangu .kuhusu mashimo hapa no tambalale no vizuri ukafika ukajionea jinsi palivyo wenye pesa wanashusha mijengo no balaaSasa hayo si mashimo nyumba si itakuwa shimoni ,pia VP uhalali wa umiliki wako tutaamini vipi kama ni chako na pia hakina migogoro
Mkuu m10 ni pesa lakini bado haijafikia thamani ya kiwanja hikiMkuu 10 million! Unachukua?