TechTino Member Joined Oct 16, 2016 Posts 71 Reaction score 25 Nov 27, 2017 #1 Kiwanja kinauzwa tegeta a kipo karibu na barabara, umeme [emoji736] Maji [emoji736] Makazi [emoji736] sqm 1500 kwa mil 24
Kiwanja kinauzwa tegeta a kipo karibu na barabara, umeme [emoji736] Maji [emoji736] Makazi [emoji736] sqm 1500 kwa mil 24
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,629 Reaction score 21,333 Nov 27, 2017 #2 Nimependa mazingira ya kiwanja chako n hapo mwisho kwenye mti ndio mwisho wa mpaka wake?vp kimepimwa
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,972 Reaction score 30,152 Nov 27, 2017 #3 Augustinobelhamus said: Kiwanja kinauzwa tegeta a kipo karibu na barabara, umeme [emoji736] Maji [emoji736] Makazi [emoji736] sqm 1500 kwa mil 24 Click to expand... Tshs 24,000,000/ Sqm 1,500 = Tshs 16,000/Sqm 1 By the way mbona kama kiko Bondeni?? Na Huu mti wa huku mwanzo uko kwenye Kiwanja chako au ni wa Jirani??
Augustinobelhamus said: Kiwanja kinauzwa tegeta a kipo karibu na barabara, umeme [emoji736] Maji [emoji736] Makazi [emoji736] sqm 1500 kwa mil 24 Click to expand... Tshs 24,000,000/ Sqm 1,500 = Tshs 16,000/Sqm 1 By the way mbona kama kiko Bondeni?? Na Huu mti wa huku mwanzo uko kwenye Kiwanja chako au ni wa Jirani??
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,972 Reaction score 30,152 Nov 27, 2017 #4 kawombe said: Nimependa mazingira ya kiwanja chako n hapo mwisho kwenye mti ndio mwisho wa mpaka wake?vp kimepimwa Click to expand... Huu mti kweli hata Mimi umenichanganya aisee, Nadhani ndio mpaka labda, Ngoja tusubiri jibu aje afafanue kuhusu huu mti
kawombe said: Nimependa mazingira ya kiwanja chako n hapo mwisho kwenye mti ndio mwisho wa mpaka wake?vp kimepimwa Click to expand... Huu mti kweli hata Mimi umenichanganya aisee, Nadhani ndio mpaka labda, Ngoja tusubiri jibu aje afafanue kuhusu huu mti