dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,200
- 2,225
Kwenye square meter ongeza urefu na upana....PLOT FOR SALE
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya Goba - kilometers 2 kutoka njia nne na 1 kilometer kutoka barabara ya lami ya kwenda Madale.
Kiwanja kina ukubwa wa 625 square meter.
Bei kinauzwa Tsh. Milion 10.5.
Umeme upo na Maji yapo
Mawasiliano zaidi 0756060183View attachment 1321679View attachment 1321680
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay Sawa mkuu. Ni Mita 25 kwa Mita 25Kwenye square meter ongeza urefu na upana....
Njoo ukione mkuu bei tutaongea tu hakunashida.9.5 huchukui mzee? Kina hati?
Coming to you now
Kilometa 1 kweli au ni zile Kilometa za JF?PLOT FOR SALE
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya Goba - kilometers 2 kutoka njia nne na 1 kilometer kutoka barabara ya lami ya kwenda Madale.
Kiwanja kina ukubwa wa 625 square meter.
Bei kinauzwa Tsh. Milion 10.5.
Umeme upo na Maji yapo
Mawasiliano zaidi 0756060183View attachment 1321679View attachment 1321680
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hayo maelezo kwenye tangazo ni kwl na ndivyo ilivyo.karibu Sana mkuu
Hii kitu niko nayo very connected