nsharighe JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 1,461 Reaction score 2,249 Jun 12, 2016 #1 Rejea kichwa cha Habari hapo juu, kiwanja kizuri kipo maeneo ya tabata kinyerezi, Mbuyuni. Kipo eneo zuri na mazingira ya kuvutia.... Kina mapana ya mita 61 kwa 31.... Kwa maelezo zaidi na bei piga namba 0672211719 0716831663 0763141427
Rejea kichwa cha Habari hapo juu, kiwanja kizuri kipo maeneo ya tabata kinyerezi, Mbuyuni. Kipo eneo zuri na mazingira ya kuvutia.... Kina mapana ya mita 61 kwa 31.... Kwa maelezo zaidi na bei piga namba 0672211719 0716831663 0763141427
K Kwetu Tz Member Joined Apr 24, 2016 Posts 57 Reaction score 6 Jun 12, 2016 #2 Nicheki kweny inbox tufanye biashara fasta kama tutaelewana
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,505 Reaction score 6,903 Jun 12, 2016 #3 Weka bei. Pia hivo vpmo n mita au futi??